NAIBU Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba, leo amekutana na wanahabari katika Ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Ambapo amezungumzia mambo mbalimbali kuelekea mwisho wa mwaka na mikakati ya chama hicho.
Kaya 28 Babati Zalipwa Fidia ya Bilioni 2.9 Kwa Maendeleo ya Huduma za
Kijamii
-
Mkuu wa Mkoa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, akizungumza na wananchi wa
Maisaka kuhusu malipo ya fidia ya maeneo yao yaliyotwaliwa kwa matumizi ya
huduma za ...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment