| Baadhi ya mashabiki wakiserebuka na miondoko ya dansi. |
| Mapacha Wa3, jukwaani....... |
| Ally Choki, akiwaongoza wanamuziki wake na wanenguaji wa bendi hiyo kushambulia jukwaa, wakati wa onyesho hilo. |
| Wanamuziki na wanenguaji wa bendi ya Mapacha Wa3, wakishambulia jukwaa. |
| Sehemu ya mashabiki wa muziki wa dansi wakifuatilia onyesho hilo. |
| Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo, Ally Choki, akizungumza na wadau wake wakati wa onyesho hilo. |
No comments:
Post a Comment