Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro (pili kulia) akiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe,Ndg. Gishuli Mbegesi Charles (kushoto) kupita kwenye njia mbovu yenye tope kuelekea kwenye eneo la mpaka wa Tanzania na Burundi unaotenganishwa na sehemu ya Mto Maragarasi, wakati akiwa katika ziara yake ya ziara wilaya mpya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, jana.
SPACK KUZIKWA CHAMAZI KWA MKONGO KESHO
-
Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva, Selemani Mvamba almaarufu 'Spack',
anatarajiwa kuzikwa kesho Aprili 28 Chamazi kwa Mkongo.
Meneja wa msanii huyo Abd...
5 hours ago


No comments:
Post a Comment