Askari Polisi wakimrejesha mahakamani mtuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa, marehemu Daudi Mwangosi, askari wa FFU mwenye namba G2573 Pasificus Cleophace Simoni (23) (aliyevaa kofia nyekundu) baaada ya kutoroshwa kizimbani kabla ya mahakama kumaliza shughuli zake, picha ya chini ikimuonesha wakati akirudishwa ndani ya mahakama leo.
MO ACHOURI APIGA MBILI TUNISIA YAICHAPA UGANDA 3-1 AFCON
-
TUNISIA imeanza vyema Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada
ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Uganda usiku wa kuamkia leo katika mchezo
wa K...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment