Kampuni ya Utalii ya Indoma Tours ya Mjini Zanzibar, inawaleate mchezo mkali wa Kirafiki wa Kimataifa wa Soka, kati ya timu ya Skonda Flota kutoka Barani Ulaya na Timu ya Sale Mdosi Hardware, ya mjini Zanzibar, mchezo utakaochezwa Februari 9, mwaka huu katika Uwanja wa Uzi Football Yard, kuanzia saa 10:00 jioni.
NMB yaongeza kasi ya kufadhili biashara za mifugo
-
- Mikopo ya mifugo NMB yavuka Sh180 bilioni.
Ubena Zomozi; Benki ya NMB imetoa zaidi ya Sh180 bilioni kufadhili wafugaji
na biashara katika mnyororo wa tha...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment