1.
Kamati ya Uchaguzi ya TFF
imepitia Fomu za waombaji uongozi wa TFF na kwa mujibu wa Kanuni
za Uchaguzi za TFF ibara ya 11 (1), (2) na (3), waombaji uongozi wafuatao majina
yao na nafasi wanazoomba kugombea yanawekwa wazi kutoa fursa kwa wale wote wenye
pingamizi kwa nini mwombaji aliyetajwa hapa chini asiteuliwe kugombea nafasi
aliyoomba, wawasilishe pingamizi zao kwa Katibu Mkuu wa TFF,
kuanzia tarehe 22 Januari 2013 hadi tarehe 26 Januari 2013 saa 10.00
jioni.
2.
Pingamizi sharti liwe kwa
maandishi, lieleze kwa uwazi sababu za pingamizi, liambatanishwe na ushahidi wa
pingamizi, liwe na jina kamili la mtoa pingamizi, anwani ya kudumu na saini
yake.
NAFASI
|
S/No.
|
JINA
|
RAIS WA TFF
|
|
|
1.
|
Athumani Jumanne Nyamlani
| |
2.
|
Jamal Emily Malinzi
| |
3.
|
Omary Mussa Nkwarulo
| |
MAKAMU WA RAIS WA TFF
|
|
|
1.
|
Michael Richard Wambura
| |
2.
|
Ramadhan Omar Nassib
| |
3.
|
Wallace Karia
| |
|
| |
MJUMBE WA KAMATI YA
UTENDAJI –
Kanda ya 1 (Kagera, Geita)
|
1.
|
Abdallah Hussein Musa
|
2.
|
Kalilo Samson
| |
3.
|
Salum Hamis Umande Chama
| |
|
| |
Kanda ya 2 (Mwanza, Mara)
|
1.
|
Jumbe Oddessa Magati
|
2.
|
Mugisha Galibona
| |
3.
|
Samuel Nyala
| |
4.
|
Vedastus F.K Lufano
| |
|
| |
Kanda ya 3 (Shinyanga, Simiyu)
|
1.
|
Epaphra Swai
|
2.
|
Mbasha Matutu
| |
|
| |
Kanda ya 4 (Arusha, Manyara)
|
1.
|
Charles Mugondo
|
2.
|
Elley Simon Mbise
| |
3.
|
Omary Walii Ali
| |
|
| |
Kanda ya 5 (Tabora, Kigoma)
|
1.
|
Ahmed Idd Mgoyi
|
2.
|
Yusuf Hamis Kitumbo
| |
|
| |
Kanda ya 6 (Rukwa, Katavi)
|
1.
|
Ayubu Nyaulingo
|
2.
|
Blassy Mghube Kiondo
| |
3
|
Nazarius A.M Kilungeja
| |
4.
|
Seleman Bandiho Kameya
| |
|
| |
Kanda ya 7 (Iringa, Mbeya)
|
1.
|
David Samson Lugenge
|
2.
|
Eliud Peter Mvella
| |
3.
|
John Exavery M. Kiteve
| |
4.
|
Lusekelo E. Mwanjala
| |
|
| |
Kanda ya 8 (Ruvuma, Njombe)
|
1.
|
James Patrick Mhagama
|
2.
|
Stanley W. D
Lugenge
| |
|
| |
Kanda ya 9 (Mtwara, Lindi)
|
1.
|
Athuman Kingome Kambi
|
2.
|
Francis Kumba Ndulane
| |
3.
|
Zafarani Mzee Damoder
| |
|
| |
Kanda ya 10 (Dodoma,
Singida)
|
1.
|
Hussein Zuberi Mwamba
|
2.
|
Stewart Ernest Masima
| |
|
| |
Kanda ya 11 (Morogoro, Pwani)
|
1.
|
Farid Nahdi
|
2.
|
Hassan Othuman Hassan
| |
3.
|
Riziki Juma Majala
| |
4.
|
Twahil Twaha Njoki
| |
|
| |
Kanda ya 12 (Kilimanjaro,
Tanga)
|
1.
|
Davis Elisa Mosha
|
2.
|
Khalid Abdallah Mohamed
| |
3.
|
Kusianga Mohamed Kiata
| |
|
| |
Kanda ya 13 (Dar es salaam)
|
1.
|
Alex Crispine Kamuzelya
|
2.
|
Juma Abbas Pinto
| |
3.
|
Muhsin Said Balhabou
| |
4.
|
Omary Isack Abdulkadir
| |
5.
|
Shafii Kajuna
Dauda
|
3.
Waombaji uongozi
wafuatao wameondolewa kwenye mchakato wa
uchaguzi:
(i)
Richard
Julius Rukambura;
Amevunja Kanuni za Uchaguzi za TFF Ibara ya 10(8) kwa kuomba
nafasi mbili za Rais na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF kwenye
uchaguzi wa TFF.
(ii)
Titus
Osoro; Amejitoa
kugombea nafasi ya Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF.
Kamati ya Uchaguzi
Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania
TAARIFA KWA UMMA
UCHAGUZI WA TANZANIA PREMIER LEAGUE
BOARD
(TPL BOARD)
1.
Kamati ya Uchaguzi ya TFF imepitia Fomu za waombaji
uongozi wa TPL Board na kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi za TFF ibara ya 11(1),
(2) na (3), waombaji uongozi wafuatao majina yao na nafasi wanazoomba kugombea
yanawekwa wazi kutoa fursa kwa wale wote wenye pingamizi kwa nini mwombaji
aliyetajwa hapa chini asiteuliwe kugombea nafasi aliyoomba, wawasilishe
pingamizi zao kwa Katibu Mkuu wa TFF, kuanzia tarehe 22 Januari
2013 hadi tarehe 26 Januari 2013 saa 10.00 jioni.
2.
Pingamizi sharti liwe kwa maandishi, lieleze kwa uwazi
sababu za pingamizi, liambatanishwe na ushahidi wa pingamizi, liwe na jina
kamili la mtoa pingamizi, anwani ya kudumu na saini yake.
NAFASI
INAYOGOMBEWA
|
S/No.
|
JINA
|
MWENYEKITI WA TPL BOARD
|
|
|
1.
|
Hamad Yahya Juma
| |
2.
|
Yusufali Manji
| |
|
| |
MAKAMU MWENYEKITI WA TPL
BOARD
|
1.
|
Said Mohamed
|
|
|
|
MJUMBE –KAMATI YA UENDESHAJI (Management
Committee)
|
1.
|
Christopher Peter Lukombe
|
|
2.
|
Kazimoto Miraji Muzo
|
|
3.
|
Omary Khatibu
Mwindadi
|
Kamati ya Uchaguzi
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania
No comments:
Post a Comment