HATIMAYE Klabu ya simba ya jijini Dar es Salaam, imekubali kumuuza mchezaji wake wa Kimataifa mabaye ni tegemezi wa timu hiyo ya Simba, Emmanuel Okwi, katika Klabu ya Etoil Du-Sahel ya Tunisia.
Mchezaji huyo amesaini mkataba wa miaka miwili na nusu baada ya kufuzu majaribio yake aliyoyaanza mwishoni mwa mwaka jana kwa dau la zaidi ya fedha za kitanzania Sh. Milioni 480/= .
Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Ismail Aden Rage, amesema kuwa katika mkataba huo, mchezaji huyo atakuwa kipokea mshahara wa sh. milioni 20 ambapo pia atakabidhia nyumba kwa ajili ya kufikia pamoja na familia yake.
No comments:
Post a Comment