Huu ni muendelezo wa 147 Critics, ambapo leo tutawasikiliza wadau na wanamuziki wawili wa muziki wa kizazi kipya, Judith D.M Wambura a.k.a Lady Jay Dee na Dully Sykes ili kujua ufahamu wao kuhusiana na marekebisho
ya sheria ya ushuru wa bidhaa Sura 147
yanayogusa maslahi ya wanamuzki na wanafilamu nchini Tanzania.
Tuwasikilize hawa katika wakati tofauti Critics 147:Judith D.M Wambura a.k.a Lady Jay Dee (3) na 147 Critics:Dully Sykes
(4) wakiwa ni watu wa tatu na nne kuelezea maoni yao kupitia link hii.
JAB YAKEMEA UVUNJAJI WA SHERIA ZA AJIRA KATIKA SEKTA YA HABARI
-
*Na Mwandishi Wetu.*
*Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewasisitiza waajiri kwenye
vyombo vya habari nchini kuzingatia kikamilifu masharti ya...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment