Habari za Punde

*GHOROFA LILILOANGUKA LENYEWE SINZA MORI JANA NA KUUA MTU MMOJA


Baadhi ya wakazi wa Sinza, jijini Dar es Salaam wakiangalia Ghorofa lililodondoka maeneo ya Sinza Mori na kusababisha kifo cha mtu mmoja jana.
 Wananchi wakibeba mwili wa mtu mmoja aliyefariki katika ajali hiyo ya kuanguka kwa ghorofa eneo la Sinza Mori jana. Picha na Amanitanzania.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.