| Msanii wa Filamu za kuchekesha nchini maarufu kwa jina la Kitale, juzi aliamua rasmi kuachana na ukapera kwa kufunga ndoa na Bi Fatma Salum. Shughuli nzima ya ndoa hiyo ilifanyika nyumbani kwa binti maeneo ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam, ambapo walihudhuria baadhi ya wasanii wenzake, ndugu jamaa na marafiki. |
RC BATILDA, MWANAFA WAKOSHWA NA 'HALE FESTIVAL'
-
📍WAHIMIZA ENZI ZA TX MOSHI WILLIAM KUTUMIKA KUIBUA VIPAJI
NA MASHAKA MHANDO, Korogwe
MKUU wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian, amemwagia ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment