Kutoka (kushoto) ni Jonathan Alexander kutoka Bangladesh, David Laungani kutoka India na Hicham Ziboukh, kutoa nchini Morocco, wakipozi kwa picha mbele ya kamera ya sufianimafoto.
Jamaa hawa ni miongoni mwa wageni katika Taifa kubwa la Marekani, ambao wengi wao hufanya kazi tofauti na wazawa wa taifa hili waliogawanyika katika kuchagua ni aIna gani ya kazi wafanye, lakini wageni walio wengi katika majiji ya nchi hii wamekuwa hawachagui kazi kama wazawa, ambapo wageni unaweza kuwakuta katika kila kona bila kuchagua ni aina gani ya kazi ilimradi riziki inapatikana.
Hawa ni wafanyakazi katika duka moja la nguo la Washngton Dc, ambao ama kwa hakika ukikutana nao waweza hisi ndiyo matajiri wenyewe. Maeneo mengine ambayo yametawaliwa na wageni zaidi pia ni katika mahoteli, ambapo ni mara chache kumkuta mzawa.
No comments:
Post a Comment