Habari za Punde

* LIBOLO INAONGOZA 1-0 DHIDI YA SIMBA NI KIPINDI CHA PILI

 Mashambuliaji wa timu ya Libolo ya Angola, Joao Martins, akiruka kupiga mpira kichwa na kuifungia timu yake bao la kuongoza katika dakika ya 24, kipindi cha kwanza, huku akiwa katikati ya mabeki wa Simba, wakati wa mchezo wao wa Kombe la Klabu Bingwa unaoendelea katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Libolo inaongoza kwa bao 1-0.
Kipa wa Simba Juma Kaseja akisota kujaribu kuokoa mpira uliopigwa na mshambuliaji wa Libolo, Joao Martins, na kukubali goli la kwanza.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.