Mama Salma Kikwete (kulia) akimpa pole Mama Hawa Ghasia kutokana na msiba wa Baba yake mzazi, mzee Abdulrahman Ghasia. Mama Salma, amewasili leo katika Kijiji cha Nanyumbu, Mtwara. Picha na Bashir Nkoromo
Malasusa:Lipeni kodi kwa furaha kwa maendeleo ya nchi
-
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na Askofu wa
Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Askofu Dk. Alex Malasusa, amewahimiza
waumini kulip...
8 hours ago


No comments:
Post a Comment