Rais wa Zanbzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein,(katikati) akiweka udongo katika kaburi la Marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo katika viwanja vya kanisa la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Antony Banzi,akiongoza sala wakati wa mazishi ya Marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,aliyekufa kwa kupigwa risasi Jumapili Iliyopita na kuzikwa leo katika viwanja vya kanisa la Kitope,Wilaya ya kaskazini B Unguja leo.
ASkofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Muadham Policup Kadinari Pengo,kwa pamoja na maaskofu wengine wakichomeka Msalaba katika kaburi la marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,aliyezikwa leo katika viwanja vya kanisa Katoliki la
Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja,ambae alifariki Jumapili Iliyopita kwa kupigwa risasi na watu wasiojukanwa.
Waumini wa Dini ya Kikiristo wa Kanisa katoliki na wananchi wakifukia udongo katika kaburi la marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,aliyezikwa leo katika viwanja vya kanisa Katoliki la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja,ambae alifariki Jumapili Iliyopitankwa kupigwa risasi na watu wasiojukanwa.
Rais wa Zanbzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein,(katikati) akiweka shada la mauwa katika kaburi la Marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo katika viwanja vya kanisa laKitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja.Picha na Ramadhan Othman,IKULU
No comments:
Post a Comment