Sheikh Ponda Issa Ponda akiwa katika basi la Magereza tayari kwa kurejeshwa Mahabusu.
Kesi ya Uchochezi na Uharibifu wa mali, inayo mkabili Sheikh Ponda Issa Ponda. leo imeendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam, huku Polisi wakiwa katika doria kali ya kuimarisha ulinzi katika maeneo jirani na Mahakama hiyo ambayo imejizolea umaarufu mkubwa jijini Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla kwa jinsi inavyo endesha kesi na watu wa aina mbalimbali kufikishwa katika mahakma hiyo. Picha zote na Father Kidevu Blog
Mkazi wa jiji akipita kando ya kundi la Askari nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu wakati Askari hao walipokuwa wakiimarisha Ulinzi nje ya Mahakama hiyo,
wakati wa kesi ya Sheikh Ponda.
No comments:
Post a Comment