Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Muungano wa Falme za Kiarabu UAE,Mhe.Abdulla Ibrahim Al Sowaidi ikulu jijini Dar es Salaam leo.Katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Juma Maharage. Picha na Freddy Maro
MRADI WA KIMKAKATI WA UTAFITI WA MAFUTA NA GESI WAENDELEA MIKOA MITANO
-
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linaendelea kutekeleza
mradi mkubwa wa kimkakati wa utafiti wa mafuta na gesi asilia katika kitalu
cha E...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment