Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa nne kulia) na ujumbe wa viongozi 14 wa CCM anaoongoza nao katika ziara ya mafunzo nchini China kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha nchi hiyo (PCP), wakiwa kwenye semina iliyoendeshwa na Profesa Fan Jida (wa nne kushoto) kukua kwa Uchumi wa China na changamoto inazokabiliana nazo kiuchumi. Semina hiyo imefanyika katika hoteli ya Wanshou mjini Beijing China, Machi 18, 2013. Baadhi ya washiriki kutoa kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Maganga Sengelema, Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Martine Shigela, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Dk. Titus Kamani, Mjumbe wa Kati Kuu ya CCM, Khadija Aboud na Katibu wa NEC, Siasa, Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali Vuai. Picha na Bashir Nkoromo.
Ripoti ya Uandishi wa Habari wa Matumizi ya Umeme Jua katika Kilimo
Wazinduliwa
-
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Deodatus Balile akizungumza
wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti ya Uandishi wa Habari wa Matumizi
...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment