Habari za Punde

*TASWIRA INAANZA KUELEWEKA VITUO VYA MABASI YAENDAYO KASI BONGO

 'HATIMAYE KITAELEWEKA TU', Hiki ni moja kati ya Vituo vya Mabasi yaendayo kati ambavyo vitajengwa katika njia hiyo kwenye maeneo tofauti, hiki kikiwa tayari kimeanza kuonyesha taswira ya picha ya kituo hicho jinsi kitakavyokuwa kikielekea kukamilika katika eneo la Barabara ya Morogoro eneo la Magomeni Mwembechai.
Taswira ya kituo hicho inavyoonekana kwa sasa wakati kikielekea kukamilika.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.