Habari za Punde

*LIGI YA TFF KINONDONI GARDEN FC YAICHAPA AYOSA FC 1-0

 Beki wa timu ya Ayosa Fc ya Magomeni, Kadili Salum, akiruka kuokoa mpira mbele ya mshambuliaji wa Kinondon Garden Fc, Khalfan Kitenge, wakati wa mchezo wao wa Ligi ya TFF, uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Kijitonyama. Katika mchezo huo Timu ya Kinondoni Garden, iliibuka na ushindi wa bao 1-0.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.