Habari za Punde

*MVUA YASABABISHA MAFURIKO DAR

 Wakazi wa Mtaa wa Jangwani jijini Dar es Salaam, wakiwa nje ya Nyumba zao baada ya kutokea mafuriko kutokana na mvua iliyonyesha jijini leo. Mvua hiyo iliyoanza majira ya saa tatu asubuhi imesababisha mafuriko katika baadhi ya mitaa ya jijini na kusababisha baadhi ya wakazi kuzihama nyumba zao. Mafuriko hayo yametokea mitaa ya Bonde la Kinondoni, Jangwani, Kigogo na Tabata.

Nyumba zilizopo bonde la Mkwajuni zikiwa zimezingirwa na maji.Picha na Amanitanzania

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.