Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AMTEMBELEA MZEE KINGUNGE HOSPITSLI YA TAIFA MUHIMBILI


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete, wakimjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, aliyepumzishwa katika chumba cha dharura katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo. 
Mzee Kingunge alikimbizwa Hospitalini hapo baada ya kujisikia vibaya. 

jopo la madaktari bingwa linamfanyia uchunguzi Mzee Kingunge ili kubaini ugonjwa unaomsumbua. 
Aliyesimama Nyuma ya Rais ni mke wa Mzee Kingunge na kushoto ni mtoto wa Mzee Kingunge, Kinjekitile. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.