Habari za Punde

*WAFUASI 52 WA SHEIKH PONDA WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 3 JELA KILA MMOJA

Wafuasi wa Sheikh Ponda, walioandamana kwenda kwenye Ofisi za Mkurugenzi wa mashitaka (DPPO) kwa ajili ya kushinikiza Ponda apewe dhamana wakiwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Watuhumiwa hao wapatao 52, leo wamehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kila mmoja. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.