Habari za Punde

*RAIS WA CHINA XI JINPING AWASILI NCHINI LEO

 Rais wa China, Xi Jinping, akiongoza na Rais wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo jioni, akiwa ameongoza na mkewe pamoja na msafara wake.
  Rais wa China, Xi Jinping, Xi Jinping, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo jioni.
 Kinamama wakijipanga kumpokea Rais wa Chini huku wakiwa katika sare.
 Rais Xi Jinping, akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi.
 Rais huyo, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Serikali na CCM uwanjani hapo.
 Rais huyo Xi Jinping akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete, wakati akipigiwa mizinga kwa heshima, ambapo baada ya hapo alikagua gwaride la heshima.
 Rais Xi Jinping na mwenyeji wake rais Kikwete, wakifurahia burudani ya matarumbeta.
 Rais Xi Jinping na mwenyeji wake rais Kikwete, wakifurahia burudani ya ngoma ya asili.
Heka heka za mapaparazi kila mmoja akijitahidi kunasa matukio uwanjani hapo.

Rais huyo akiondoka uwanjani hapo.......

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.