Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR KATIKA ZIARA YA KASKAZINI UNGUJA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiangalia bidhaa za wajasiliamali wakati alipokuwa akiwatembelea katika maonesho ya kazi za vikundi vya wajasiriamali wa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,alipokuwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya miradi mbali mbali jana. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.