Habari za Punde

*SKYLIGHT BAND YAWAAGA MASHABIKI WAKE DAR KABLA KUELEKEA MWANZA MACHI 30

Sam Mapenzi akiongoza Kikosi Kazi cha Skylight Band katika show zao za Kila Ijumaa pale pale kwenye Uwanja wao wa Nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam. Wakazi wa Mwanza kaeni mkao wa kula tarehe 30, 31 na tarehe 1 ya Mwezi Aprili Skylight Band itakuwa jijini Mwanza kuwapa burudani ya aina yake.
Kikosi Kazi cha Skylight Band kikishambulia jukwaa kuwaburudisha mashabiki wake.
Mary Lukas akiimba na kucheza na shabiki wake.
Vijana wa Skylight Band wakimwaga mauno kwa mashabiki wao.
King Kif na Couples ya nguvu Mr. & Mrs Ngonyani.
Wadau wa Skylight Band katika pozi wakipata Ukodak.
Mdau Dagma na binti mrembo.
Kikosi kazi cha Skylight Band kikiendelea kutoa Burudani kwa mashabiki wake waliofurika kwenye kiota cha Thai Village.
Mpiga Drum wa Skylight Band akiwajibika.
Msanii wa Bongo Flava Shetta akiwa amejumuika na rafiki zake kushuhudia burudani ya Skylight Band.
G5 Click na hii ndio kazi ya mikono yao http://www.skylightpartiestz.com
Blogger King Kif na Wema Sepetu wakishow love.
Wadananga wakishow love...Bata kwenda mbele kama wanayoonekana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.