Habari za Punde

*WENGI WASHIRIKI MSIBA WA MAMAKE MGWASSA DAR

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi Tanzania, David Mgwassa, akizungumza na baadhi ya waombolezaji waliofika kumfariji kwa kufiwa na mamake mzazi, Suzan  Mgwassa, Kijitonyama, Dar es Salaam. Mwili utasafilishwa leo kwenda kwao Manda, Ludewa kwa maziko
Wakurugenzi wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited, Benny Kisaka (kulia) Juma Pinto na Juma Mabakila, wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa mamake, David Mgwassa.
Mjukuu wa marehemu Suzan Mgwassa, Isaack Mgwassa (kulia) akijadiliana jambo na maaskofu wa Kanisa la Pentekoste wakati wa msiba huo.
                                                          Sehemu ya waombolezaji
Waombolezaji...
Wafiwa.....
Ibada
Kwaya ya Kanisa la Pentekoste ikomboleza kwa nyimbo za injili wakati wa kuaga mwili wa marehemu Suzan.
David Mgwassa (wa pili kulia) akijadiliana jambo na maaskofu wa Kanisa la Pentekoste waliokwenda kuuombea mwili kabla kusafirishwa.
Mgwassa akifarijiwa na mmoja wa waombolezaji
Waombolezaji wakipata mlo
Mgwassa akizungumza na Abdul Sisco (kushoto)
Mkurugenzi Mtendaji wa Montage Teddy Mapunda (aliyevaa miwani) akishiriki kwenye msiba huo. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.