Habari za Punde

*AZAM YASHINDWA KUWATAMBIA WALIBERIA NYUMBANI YATOKA SARE

Kipre Tchetche wa Azam Fc (juu) akiruka kwanja la beki wa timu ya
Barrack Young Controller, wakati wa mchezo wa timu hizo wa
marudiano Kombe la
Shirikisho, ulichezwa leo jioni kwenye Uwanja wa
Taifa
jijini Dar Es Salaam. Katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare
 bila kufungana na 
kuifanya Azam izidi kusonga mbele 

John Boko (kulia) akichuana na beki wa Barrack Young.
Kipre Tchetche wa Azam FC, akimtoka Prince Jetoh wa Barrack Young Controllers kwenye mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika uliochezwa uwanja wa Taifa leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.