Habari za Punde

*BONDIA FADHILI MAJIHA ARUDI NA UBINGWA KUTOKA INDONESIA BAADA YA KUMCHAPA Heri Amol

Bondia Fadili Majia (katikati) akiwa na kombe la ubingwa wa taifa wa ngumi alilolipata nchini Indonesia wiki iliyopita baada ya kumchapa bondiaHeri Amol, Pichani akiwa na wadau wa ngumi alipokuwa akipokelewa jijini Dar es Salaam jana. Kutoka (kushoto) ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajab Mhamila, Japhet Kaseba, Kanda Kabongo na Pendo Njau.
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akifuraia na bondia pendo Njau baada ya kumpokea bondia Fadhili Majiha katikati.Picha za Super D.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.