Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA UHOLANZI MARK RUTTE

Waziri Mkuu wa Uholanzi Mark Rutte akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika ofisi yake na kufanya naye mazungumzo jana Jijini The Hague.Rais Kikwete alikuwa katika ziara rasmi ya siku mbili nchini Uholanzi kwa mwaliko wa Waziri mkuu wa Nchi hiyo. 
8E9U5887 8E9U6048Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mwishoni mwa ziara yake rasmi ya siku mbili nchini Uholanzi jana.Kulia nia Waziri Mkuu wa Uholanzi Mh.Mark Rutte.Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.