Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Choki (kulia) akirap kumchezesha sebene mpiga Gitaa la Rythim, wa bendi hiyo, Mfaume, wakati wa onyesho la Sikukuu ya Pasaka la bendi hiyo lililofanyika katika Kiwanja cha Garden Breeze, Magomeni jijini Dar es Salaam, siku ya Pasaka.
Sehemu ya mashabiki wa bendi hiyo wakisebeneka na miondoko ya Extra Bongo.
Mashabiki wakiendelea kujinafasi..
Wanenguaji wa kiume wa bendi hiyo, wakishambulia jukwaa......
'Mkaanga Chips' wa bendi hiyo, Martine Kibosho, akizitendea haki drams wakati wa onyesho hilo.
Wanenuaji wa bendi hiyo, Maria Soloma (kushoto) akipozi na mwenzake.
Mashambulizi ya wanenuaji wa kike wa bendi hiyo yakiendelea jukwaani.
Makamuzi kwa kwenda mbele.
Sebene likiwapagawisha mashabiki kwa miondoko ya wanenguaji wa bendi hiyo.
Makamuzi yakiendelea....










No comments:
Post a Comment