Habari za Punde

*BONDIA IDDY MKWERA AMGALAGAZA LUCAS NDULA MUHEZA TANGA

Bondia Iddy Mkwera, akinyooshwa mkono juu baada ya kumgalagaza, Lucas Ndula,katika pambano lao la mabondia wa Dar na Muheza, Mkwera alishinda kwa pointi katika pambano hilo la raundi sita lililoandaliwa kwa ajili ya kuinua mchezo wa ngumi Wilaya ya Muheza  na kusherekea sikukuu ya Pasaka.
Mabondia wa Kutoka Muheza wakionesha shoo ya masumbwi wakati wa kusherekea sikukuu ya Pasaka
katika viwanja vya Jitegemee Muheza.

Bondia Lucas Ndula wa Muheza (kushoto) akichapana na Iddy Mkwera wa Dar es salaam, katika pambano lao lililofanyika uwanja wa jitegemee muheza wakati wa sikukuu ya Pasaka.
Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza katika mpambano huo.

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' wa tatu kulia akiwa na baadhi ya mabondia waliocheza ngumi katika uwanja wa jitegemee muheza. Picha na Super D

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.