Wachimbaji wakifikia hatua ya mwisho kabisa ambapo tayari wamefikia ulipokuwa umeanzia msingi uliokuwa umebeba ghorofa 16, na kazi hiyo ilikuwa ikifanywa na askari wa JWTZ na kumkabidhi mkuu wa mkoa wa Dar leo na kutoa idadi kamili ya maiti waliopatikana kufikia 36.
Kampuni Ya Airtel Tanzania Imewataka Wanavyuo Nchini Kutumia Fursa ya
Kimtandao
-
KAMPUNI ya ya Airtel Tanzania imewataka wanavyuo nchini kutumia fursa ya
kimtandao katika kuwasaidia kuboresha taaluma zao pindi wawapo vyuoni.
Hayo yam...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment