Habari za Punde

*HEKA HEKA ZA USAFIRI JIJINI DAR BAADA YA SUMATRA KUTANGAZA NAULI MPYA

 Kutokana na  umamuzi wa  Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) kupandisha  nauli za usafiri wa mabasi,treni na gharama za bandari zitakazoanza kutumika April 12 mwaka huu, usafiri wa daladala jijini umeanza kuonekana wa shida, hasa nyakati za jioni ,kwani baadhi ya wenye mabasi ya daladala jijini  Dar es Salaam wameanza kutumia mwanya huo na kuongeza nauli kinyemela hivyo kusababisha wananchi kutaabika na kusongama katika vituo vya usafiri
 Barabara ya Jangwani, wakazi wa jijini Dar es Salaam, wakitembea kwa miguu.
 Baadhi ya wanachi katika maeneo ya  Jangwani jana wakitembea kwa miguu.baada ya kuona tatizo la kususbiri usafiri .
Tabu ya usafiri bararabara ya muhimbili, Baadhi ya wakazi  jijini Dar es Salaam jana wakisubiri usafiri katika  maeneo ya shule ya Sekondari ya  Azania. Picha na Mwanakombo Mbwana Omari Jumaa

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.