Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SHUGHULI ZA KUAGA MWILI WA MEJA GENERALI MAKAME RASHID LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini.
 Makamu wa Rais Dkt. Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Mkuu wa Majeshi Davis Mwamunyange.
 Saidi Mwema na viongozi wengine.

 Askari wakibeba jeneza kuelekea mahala pa kuagia
 Makamu wa Rais Dkt. Bilal akiwafariji wanafamilia wafiwa.
 Heshima ya kijeshi.....
 Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, akitoheshima za mwisho.
 Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange, akitoa heshima za mwisho.
 Katibu Mkuu Kiongozi akiwafariji wanafamilia wafiwa....
Baadhi ya wanafamilia wakiwa na huzuni...

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.