Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA, LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Dkt. Jakaya Kikwete (Kushoto) akifungua  mkutano  wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika leo jijini Dar es Salaam, kikao hicho ni cha  368 na  katika ajenda zake  pia kitazungumzia mgogoro wa Madagascar. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa  Kitaifa Mh. Bernard Membe,  ambaye ndiye Mwenyekiti wa Kikao kicho, (katikati) ni  Kamishna wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika H.E. Ramatane Lamamra.
 Baadhi ya washiiki wa mkutano huo
 Washiriki wa mkutano huo.
 Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akizungumza jambo na Kamishna wa Baraza la Amani la Usala wa Umoja wa Afrika H.E. Ramtane Lamamra. baada ya funguzi wa kikao cha 368 cha baraza hilo laeo jijini Dar es Salaaam.
 Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Waziri Membe.
Rais Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi. Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.