Habari za Punde

*RAIS WA ZNZ DKT SHEIN AANZA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA UNGUJA

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akifungua pazia kuweka jiwe la Msingi  Tawi la CCM Vikokotoni,alipokuwa katika ziara ya  kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, alipokuwa akizungumza na Wananchi na wanachama wa CCM, Tawi la CCM Vikokotoni Mjini Unguja,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini leo.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili kuitembelea Maskani Kaka ya Kisonge,iliyomwa moto na Watu wasiojulikanwa akiwa
katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM alipowasili katika Ofisi ya CCM Mkoa Amani,alipoanza ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mkoa huo leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.