Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA ARDHI, MAJI NA MAKAZI NA NISHATI LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiingia katika ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha  Wizara  ya Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo kilichofanyika leo, mjini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara  ya Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,( kushoto)  Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad.
 Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo,kinachoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa katika mpangilio  wa Rais, kuzungumzia utekelezaji wa kazi za kila Wizara. Picha na Ramadhan Othman,Iku

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.