Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo, wakati alipokutana nao katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi(kulia) ni Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi,pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
MAFUNZO MAALUMU KWA WALIMU WA SOMO LA BIASHARA NA AMALI YAENDELEA KOROGWE
-
Mkuza Mitaala kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania Bw. Hemed Mdee amebainisha
kuwa Taasisi ya Elimu Tanzania inaendelea na mafunzo maalumu kwa walimu wa
somo...
28 minutes ago
No comments:
Post a Comment