Warizi wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa, akizungumza wakati alipokuwa akimshukuru Kaimu Balozi Mhe. Lily Munanka na Maafisa Ubalozi wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC kwa kuwaandalia chakula cha jioni yeye na ujumbe wake jana usiku kwenye ukumbi wa kukmbukumbu ya Mwal. Julius Nyerere uliopo Ubalozini hapo.
Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Lily Munanka akizungumza kumshukuru Mhe. Waziri na Ujumbe wake kwenye chakula cha jioni jana Washington, DC.
Mhe. Waziri wa Fedha Dkt. Wiliam Mgimwa (kushoto) akimsikiliza Kaimu Balozi Mhe. Lily Munanka wakati wa hafla hiyo ya chakula cha jioni.
Maafisa Ubalozi wakimsikiliza kaimu Balozi Mhe. Liliy Munanka (hayupo pichani)
Monica Mwamunyange Kamishna wa Bajeti akiwa na Afisa Habari Ubalozi wa Tanzania Washington, Dc, Mindi Kasiga.
Kushoto ni Bi Natu Mwamba Naibu Gavana akiwa na Prof Rutastara Longlusi Naibu Katibu Mtendaji tume ya Mipango.
Kushoto ni Harry Kitilya Kamishna Mkuu wa TRA na DR. Philip Mpango Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais,Tume ya Mipango.
Kutoka kushoto ni Bi Natu Mwamba Naibu Gavana, Prof Rutastara Longlusi Naibu Katibu Mtendaji tume ya Mipango , Harry Kitilya Kamishna Mkuu wa TRA.
Kutoka kushoto ni Bi Natu Mwamba Naibu Gavana, Prof Rutastara Longlusi Naibu Katibu Mtendaji tume ya Mipango , Harry Kitilya Kamishna Mkuu wa TRA, DR. Philip Mpango Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais,Tume ya Mipango na Prof. Benno Ndulu Gavana wa Benki kuu.
Mhe. Waziri na Ujumbe wake pamoja na Kaimu Balozi na Maafisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani katika picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment