Habari za Punde

*ASKOFU MOKIWA ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA KIKUNDI CHA UMAKI DAR

 Dkt. Mwile Malecela (kushoto) akipokea kadi ya uanachama kutoka kwa askofu mkuu mstaafu wa makanisa ya Anglikana Dkt. Valentino Mokiwa wa (umaki)usharika wa mama wa kikristo, wakati wa maadhimisho ya sherehe yao ya kumbukumbu ya mama mariamu iliyofanyika jana katika kanisa la Anglikana Kawe jijini Dar es Salaam.
 Dkt. Mwile Malecela (kushoto) akipongezwa baada ya kupokea kadi ya uanachama kutoka kwa askofu mkuu mstaafu wa makanisa ya Anglikana Dkt. Valentino Mokiwa wa (umaki)usharika wa mama wa kikristo, wakati wa maadhimisho ya sherehe yao ya kumbukumbu ya mama mariamu iliyofanyika jana katika kanisa la Anglikana Kawe jijini Dar es Salaam.

Dkt.  Mwele (kulia)  akiwa na Rais wa Kikundi cha Umaki, ambaye pia ni mama mlezi wa kikundi hicho,  Grace Mokiwa, wakati wakitembelea katika mabanda ya maonyesho ya Bidhaa za Kinamama Wajasaliamali wa Umaki. Picha na Nasma Mafoto
 Maandamano ya wanakikundi cha wajasiliamali hao wakati wakielekea Kanisani.
 Maandamano ya wanakikundi cha wajasiliamali hao wakati wakielekea Kanisani.
 Baadhi ya kinamama wa Kikundi hicho wakishiriki onyesho la mavazi, wakati wa Tamasha hilo.
 Mmoja wa wajasiliamali wa kikundi hicho akipita na vazi la ubunifu mbele ya wageni waalikwa..
 Onyesho la mavazi likiendelea...

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.