Habari za Punde

*AZAM FC YASHINDWA KUFURUKUTA NYUMBANI YATOKA DROO NA FAR RABAT YA MOROCCO TAIFA LEO

Mshambuliaji wa Azam Fc, John Boco, akiwatoka mabeki wa Far Rabat ya Morocco, wakati wa mchezo wa kwanza wa Raundi ya Tatu, Kombe la Shirikisho Afrika, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo jioni. Katika mchezo huo timu hizo zimetoka suluhu 0-0, huku waarabu hao wa Morocco, wakijigamba kufanya kweli katika mchezo wa marudiano ambao wao watakuwa wenyeji huko kwao. Picha na Bin Zubeiry

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.