Get involved,
Keep the ball flying
www.fivb.org
Volleyball World Vision 2012
Tanzania Volleyball Association
P.O Box 10496, DAR ES SALAAM – TANZANIA.
EMAIL-tavatanzania@yahoo.com
⦁
⦁ Affiliated to National Sports Council, Member of Tanzania Olympic Committee
⦁ Member of Africa Volleyball Confederation, Member of Federation International de volleyball
KUMB. TAVA/ADM/ 06/13 April 15, 2013
- WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI
-KATIBU MKUU BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA(BMT)
-MKURUGENZI WA MAENDELEO YA MICHEZO
-KATIBU MKUU KAMATI YA OLYMPIKI TANZANIA.
\YAH: MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA TAVA
.TAREHE. - 18/5/2013
.MAHALI - Mkonge Hoteli Tanga
.WAJUMBE. -Wenyeviti na makatibu wa vyama vya mikoa
Vilivyojishirikisha na TAVA
-Wajumbe wa kamati ya utendaji wanaomaliza muda wao
.NAFASI ZITAKAZOGOMBEWA.- Mwenyekiti
-Makamu wa kwanza mwenyekiti mipango na maendeleo
-Makamu wa pili mwenyekiti fedha na utawala
-Katibu mkuu
-Naibu katibu mkuu
-Mwenyekiti kamati ya ufundi
-Mwenyekiti kamati ya maendeleo ya shule na vyuo
-Mwenyekiti kamati ya maendeleo ya mikoa
-Mwenyekiti kamati ya maendeleo ya waamuzi
-Mweyekiti kamati ya maendeleo ya makocha
-Mwenyekiti kamati ya maendeleo ya mpira wa ufukweni.
-Mwenyekiti kamati ya maendeleo ya wanawake.
-Mwenyekiti kamati ya maendeleo ya watoto
-Uchaguzi wa TAVA utasimamiwa na Baraza la michezo la Taifa kwa mujibu wa katiba ya TAVA
-Utaratibu wa fomu za wagombea utatolewa muda mfupi ujao.
Taarifa hii imetolewa na Mwenyekiti wa TAVA. –Augustino Israel AGAPA
Augustino Israel AGAPA
Rais wa TAVA
Simu 0713 338744/0788255858
Nakala-. Katibu mkuu Baraza la michezo la Taifa(BMT
No comments:
Post a Comment