Habari za Punde

*UJUMBE WA FIFA ULIOKUJA NCHINI KUSIKILIZA MGOGORO WA TFF WATETA NA WAANDISHI WA HABARI LEO

Mkurugenzi wa Wanachama wa shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Primo Corvaro, akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusu mgogoro wa wagombea na shirikisho la Soka nchini (TFF) ambao ulisababisha mchakato wa uchaguzi kusimama. Katikati ni Rais wa TFF, anayemaliza muda wake, Leodger Tenga.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo, leo wakimsikiliza Mkurugenzi huyo wakati akizungumzia suala hilo. Picha na Lenzi ya Michezo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.