Habari za Punde

*UMOJA WA MATAIFA WAZITAKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI KUTOA USHIRIKIANO KWA SOMALIA


Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Masuala ya Kisiasa nchini Somalia Balozi Dk. Augustine Mahiga (Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, ambapo ametoa wito kwa nchi za Afrika mashariki kuichukulia Somalia kama taifa lingine lolote na kulipa ushirikiano kwani kwa sasa lina amani na utulivu tofauti na watu walivyokuwa wakilifikiria. Kulia ni Msemaji wa Ofisi ya UN inayoshughulikia suala la Somalia Nick Binback.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.