Habari za Punde

*WAZIRI MKUU PINDA ATUA ARUSHA KUWAFARIJI WALIOFIWA NA NDUGU ZAO KATIKA MAPOROMOKO YA MACHIMBO

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akizungumza na viongozi wa mkoa wa Arusha wakati alipowasili mkoani humo leo kwa ajili ya kutoa pole na kuwafariji ndugu na jamaa ambao ndugu zao wamefariki katika machimbo ya Moramu katika eneo la Moshono Mkoani Arusha kwa maporomoko hayo yaliyotokea jana na kusababisha vifo vya watu 13 na majeruhi wawili ambao mmoja ameruhusiwa na mwingine amelazwa katika Hospitali ya Maunti Meru. 

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akizungumza na wanafamilia waliofiwa na ndigu zao katika maporomoko hayo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisaini katika kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili katika eneo lililoandaliwa maalum kwa ajili ya kuaga miili ya marehemu waliofariki katika maporomoko hayo.Picha na Chris Mfinanga

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.