Habari za Punde

*DEREVA WA PIKIPIKI AGONGWA NA FUSO TAA ZA SEGEREA LEO MCHANA

 Lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 647 CEK, likiwa limeigonga pikipiki iliyokuwa inakatiza kwenye taa nyekundu leo mchana kwenye njia panda ya Segerea.
 Dereva wa pikipiki akiugulia maumivu kabla ya kupatiwa msaada wa kukimbizwa hospitali baada ya ajali hiyo.
 Dereva wa pikipiki akiugulia maumivu kabla ya kupatiwa msaada wa kukimbizwa hospitali baada ya ajali hiyo. Picha na Adam Mzee

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.