Habari za Punde

*VIONGOZI WA CCM VYUO VIKUU WAKUTANA NA KAIMU MWENYEKITI WA CCM VYUO VIKUU DAR

 Kaimu Mwenyekti vyuo vikuu, Mkoa wa Dar es salaam, Assenga Abubakar (Kushoto),Katibu Msaidizi Mkoa wa vyuo vikuu,anayeshughulikia mikoa ya Dar es salaam na Zanzibar na Kepteni mstaafu, Alhaji Mohamed Ligola wakiwa kwenye mkutano na viongozi wa matawi ya vyuo ya CCM DSM, leo.
Baadhi ya viongozi wa matawi ya CCM ya vyuo vikuu mkoa wa Dar es salaam wakiwa kwenye mkutano wao ambao pamoja na kujadili masuala mbali mbali ya kisiasa na masaula ya gesi Mtwara pia walipata wasaa wa kupata Darasa la Itikadi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.