Habari za Punde

*KIKUNDI CHA CASH MONEY CHATOA MSAAA KWA WAGOJWA HOSPITALI YA TEMEKE

Mlezi wa kikundi cha Cash Money akimfaliji mama Samir Nassoro, Naomi Ramadhani walipokutana wakati kundi hilo likitoa msaada kwa wagojwa katika Wodi ya watoto.
Baadhi ya wanachama wa kikundi cha Cash Money wakimfariji Bi Naomi Ramadhani.
Msanii wa bendi ya Msondo ngoma Saddy Ally (katikati) akisalimiana na wanakikundi cha Cash Money walipokutana katika hospitali ya Temeke wakitokea kutoa msaada.
Wana kikundi wa Cash Money, Amina Uredi 'Mmanyema '  (kushoto) na Zulfa Kasongo.
Mlezi wa kikundi cha cash money bi, Ratifa Masasa, akimfariji mtoto Salimu Ally, wakati walipokwenda kutoa msaada katika hospitali ya Temeke Dar es Salaam (kulia)  ni mama mtoto Tabu Salumu mkazi wa Tandika.

Picha ya pamoja kati ya wauguzi wa Hospitali ya Temeke na wanakikundi cha Casha Money.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.