Habari za Punde

*MABONDIA FRANCI CHEKA NA FRANCIS MIYEYUSHO WATAMBULISHA MIKANDA YAO YA WBF KWA WABUNGE MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (wanne kushoto) akiwa na Bondia bingwa wa dunia wa mchezo wa masumbwi nchini Fransic Cheka baada ya kukaribishwa bungeni mjini Dodoma leo alipokwenda kuutambulisha mkanda huo kwa wabunge. Wengine kushoto Rajabu Mhamila 'Super D'  na bingwa wa mabara Fransic Miyeyusho (kulia) ni promota wa mchezo wa masumbwi nchini Mohamed Bawaziri,  na promota wa mpambano wa ubingwa wa Dunia ambao cheka anao kwa sasa Catherini Matili .
MAJI MAREFU AKIWA NA MABINGWA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI
Mbunge Wa Same Mashariki, Anne Kilango  (katikati) akiwa  na bingwa wa dunia wa wbf fransic Cheka kulia kwake na Francis Miyeyusho na baadhi ya wadau waliokaribika kupata kumbukumbu na mabondia hao.

Picha kwa kumbukumbu......
Bondia fransic Cheka akiwa na wabunge mbalimbali pamoja na mwanaseria mkuu wa Selikari, nje ya ukumbi wa Bunge.
Waziri wa Wizara ya Habari ,Vijana,utamauni na michezo, Dkt,Fenela Mukangara (wa pili kushoto) akiwa na Rais wa TPBO Yassini Abdallah pamoja na mapromota Mohamedi Bawazir (kulia) na  Catherini Matili.
Waziri Mkuu Mh,Mizengo Pinda (katikati) akiwa na mabondia Fransic Miyeyusho kushoto na Fransic Cheka wakati walipo tembelea bungeni Dodoma kwa ajili ya kutambua mchango wao na kuwapongeza.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.