Habari za Punde

*MABOSI WAHURUMIENI WAFANYAKAZI WENU WANAOISHI MBEZI, USAFIRI HADI SASA BADO HAKIJAELEWEKA

Baadhi ya wakazi wa maeneo ya Kimara, Mbezi wakiwa katika kituo cha daladala wakisubiri usafiri kuelekea makazini, ambapo kuanzia majira ya saa 12 asubuh hakuna gari lililoweza kupita kuelekea wala kutoka Mbezi. Kwa maana hiyo abiria wa Posta, Kariakoo na maeneo mengine ya katikati ya mji bado wamekwama maeneo hayo. Imeelezwa hii imesababishwa na ajali ya Lori ambalo limegongana na na kuziba barabara huko maeneo ya Kimara na kusababisha adha  hii. Poleni wakazi wa Kimara na Mbezi, Mabosi zenu watawaelewa tu. Picha na Abia Richard

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.